IslamicForum
IslamicForum
May 23, 2025 at 04:31 AM
WASHINGTON DC, MAREKANI - MAY 21: Maafisa wa polisi wa Marekani kuanza uchunguzi baada ya wafanyakazi 2 Sarah Lynn Milgrim na Yaron Lischinsky wa Ubalozi wa Israel kuuawa kwa kupigwa risasi karibu na Jumba la Makumbusho la Kiyahudi huko Washington DC, Marekani mnamo May 21, 2025.
Image from IslamicForum: WASHINGTON DC, MAREKANI - MAY 21: Maafisa wa polisi wa Marekani kuanza...

Comments