
IslamicForum
May 25, 2025 at 09:12 AM
Saudi Arabia itaruhusu uuzaji wa pombe katika maeneo takriban 600 kuanzia 2026!.
Hii ndio Saudi Arabia ya sasa, katika sehemu alipozaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) wakijaribu kuludisha yele yote aliopambania kuyaondosha na yakaisha sasa yanarejeshwa!. Inasikitisha sana.
#democracymakespeopledevils
#muslimsshouldsaveourselvesbyestablishingthekhilafah
#muslimsbeingunderdemocracyisonlysuffering
#muslimsletsestablishkhilafahtoprotectourhonorandourblood

😢
2