
MAJIVU YA FASIHI. 📖🪶
June 9, 2025 at 07:02 PM
Jama mnamkumbuka Ferouz?...
Eeh yule Ferouz Adam kinyozi...
Aliyeenda kutafuta pesa, akakutana na mabazazi...
Kutoka hapo...tukapata riwaya bora ya hiki kizazi...
🤭
E bwana eeh!
Riwaya ya *SHAMBA LA HELA* itakamilika Ijumaa hii.
Itakuwa kwenye mfumo wa nakala laini yaani PDF.
Ni riwaya ya hekaheka, mapigano na mavarangati...
Ni msitu wa maneno zaidi ya *Elfu hamsini na moja* kwenye kurasa zaidi ya 350.
Ni kalamu ya yuleyule fanani wenu Godlove Kabati.
Kwa nini uikose kazi hii adhimu?

❤️
👍
❤🔥
👊
🔥
🙏
13