AjiraCoach Platform

AjiraCoach Platform

31.5K subscribers

Verified Channel
AjiraCoach Platform
AjiraCoach Platform
June 10, 2025 at 08:07 AM
*NAFASI ZA KAZI – GOODWILL T CERAMIC CO LTD* *Location:* Mkuranga, Mkiu *Wanaohitajika:* 1. Fundi Kuchomea – 20 2. Dereva Foko – 3 3. Dereva Excavator – 2 4. Dereva Concrate Mixture (Gari Zege) – 2 5. Dereva Dump Truck – 4 *Fika na leseni yako siku ya Jumatatu kuanzia saa 1 asubuhi, tarehe 9.6.2025* *Watakaonufaika na huduma zifuatazo bure:* - Malazi - Umeme - Maji - Mlo mmoja kwa siku *Mawasiliano:* +255733852312 *Usipopokelewa kwa simu, fika moja kwa moja Mkuranga (kijiji cha Mkiu) ulizia Goodwill – kiwanda cha tiles.* *Jiunge na AjiraCoach Platform* kwa fursa zaidi za kazi kila siku: 👉 https://whatsapp.com/channel/0029Va8Ui3W42DcgM0bUEK01 #ajiracoach #nafasizakazi #fursazaajira #ajiratanzania #kazimkuranga #fundikuchomea #derevajobs

Comments