AjiraCoach Platform

AjiraCoach Platform

31.5K subscribers

Verified Channel
AjiraCoach Platform
AjiraCoach Platform
June 10, 2025 at 08:51 AM
*TANGAZO LA NAFASI YA KAZI* Uongozi wa shule ya Msingi *MWENDO* iliyopo *Kibamba Kwa Mangi - Ubungo, Dar es Salaam* unatangaza nafasi ya kazi kwa masomo yafuatayo: ➕ Mathematics & Science ➕ English & Kiswahili ➕ Social Studies & Civics *Sifa za Mwombaji:* 1️⃣ Awe amemaliza chuo kinachotambulika na serikali 2️⃣ Awe na uzoefu wa kufundisha madarasa ya mtihani (Darasa la 4 & 7) 3️⃣ Awe muadilifu 4️⃣ Awe mchapakazi na nadhifu *Jinsi ya Kutuma Maombi:* Tuma CV kupitia WhatsApp: *0620303958* 🗓 *Usaili*: Jumamosi, tarehe *14/06/2025* 🕘 Saa: *2:00 asubuhi* 📍 Mahali: Shule ya MWENDO, Kibamba kwa Mangi *Jiunge na AjiraCoach Platform* *JIUNGE KUPITIA LINK HAPA👇* 👉 https://whatsapp.com/channel/0029Va8Ui3W42DcgM0bUEK01 #ajiracoach #nafasizakazi #fursazaajira #interviewtips #elimunaajira #scholarships #internships #ajiratanzania #tanzaniajobs

Comments