
AjiraCoach Platform
June 10, 2025 at 05:08 PM
*WE'RE HIRING – SAMSUNG Customer Service*
Tunatafuta watalaam wenye uzoefu:
🔧 *Customer Electronics Technician*
❄️ *AC & Refrigeration Technician*
📍 *Location*: Dar es Salaam
*COMPETENCY*
- Uwezo wa kugundua na kutengeneza vifaa vya nyumbani (mf. AC, friji)
- Uzoefu wa kazi nyumbani ni kipaumbele
- Zaidi ya miaka 3 ya uzoefu wa vitendo
- Awe mzuri katika Kiswahili na Kiingereza
- Awe anajua kutumia kompyuta na mwenye umri kati ya miaka 25-35
- Awe na diploma/degree katika electronics au AC & refrigeration
*Jinsi ya Kuomba:*
⏰ Deadline: 15 June 2025
📧 [email protected] | [email protected]
📞 0687 604 906 / 0746 490 000
Jiunge na timu ya FYNTECH na fanya kazi na brand kubwa kama Samsung!
👉Karibu AjiraCoach Platform
#ajiracoach #nafasizakazi #samsungtanzania #technicianjobs #daressalaamjobs