AjiraCoach Platform

AjiraCoach Platform

31.5K subscribers

Verified Channel
AjiraCoach Platform
AjiraCoach Platform
June 11, 2025 at 03:50 AM
*🚨NAFASI ZA KAZI ZA KUJITOLEA – CJM MATERNITY AND NURSING HOME CLINIC* Kituo cha afya cha *CJM Maternity and Nursing Home Clinic* kilichopo *Bunju B – Dar es Salaam* kinakaribisha maombi kutoka kwa wataalamu wa afya kwa nafasi za kujitolea kama ifuatavyo: *NAFASI ZINAZOPATIKANA:* 1️⃣ *Clinical Officers* – Nafasi 2 2️⃣ *Medical Attendants* – Nafasi 4 3️⃣ *Enrolled Nurses* – Nafasi 2 4️⃣ *Medical Laboratory Technicians* – Nafasi 2 *JINSI YA KUTUMA MAOMBI:* Tuma barua ya maombi pamoja na CV kupitia: 📧 *[email protected]* *Kwa maswali au maelezo zaidi:* 📧 *[email protected]* 📞 *0717 547 735* 📱 WhatsApp: *0782 041 150* *Anuani ya Posta:* *Director,* *CJM Maternity and Nursing Home Clinic,* *P.O. Box 11917,* *Dar es Salaam, Tanzania.* #ajirazaafya #kazizakujitolea #healthjobs #ajiracoach #cjmhealthcare

Comments