
Nukta Habari
June 12, 2025 at 06:32 AM
Kupitia Nukta TV YouTube fuatilia uwasilishaji wa Hali ya Uchumi mwaka 2024 pamoja na Mpango wa Maendeleo wa Serikali kwa mwaka 2025/26 utakaowasilishwa na Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo. https://www.youtube.com/live/YXwrPYl0Dyc?si=IY6CCSCHG5kxX4DZ
