Nukta Habari
June 12, 2025 at 07:26 AM
Pato halisi la Taifa lafikia Sh156.6 trilioni kutoka Sh148.5 trilioni mwaka 2023. Endelea kufuatilia uwasilihaji wa Hali ya uchumi 2024 kupitia Nukta TV Youtube. https://www.youtube.com/live/YXwrPYl0Dyc?si=MPEgT7b3GYVjBXVV