
Nukta Habari
June 12, 2025 at 03:33 PM
Wastani wa pato la mtu mmoja mmoja Tanzania limeongezeka kwa kiwango cha zaidi ya Sh145,000 ndani ya mwaka mmoja na kufikia Sh3.2 milioni mwaka 2024.
Kwa mujibu wa kitabu cha Hali ya Uchumi 2024 wastani wa pato la mtu mmoja mmoja nchini lilikuwa Sh3,204,244 kwa mwaka 2024 kutoka kiasi cha Sh3,058,847 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 4.8.
https://nukta.co.tz/wastani-wa-pato-la-mtanzania-limeongezeka-kwa-sh145397