Duro Crypto
Duro Crypto
May 18, 2025 at 08:09 AM
1. Bitcoin imevuka dola 100,000 na watu wakubwa wanaendelea kuinunua, wakitarajia bei itaendelea kupanda. 2. Coinbase ilishambuliwa na hackers, lakini hisa zake zimepanda asilimia 24 baada ya kuingizwa kwenye orodha ya makampuni makubwa Marekani. 3. Watu wa crypto Ufaransa wanahofia utekaji baada ya matukio ya watu kutekwa na kutishiwa. 4. Ethereum na Solana zimepanda bei kwa kasi, huku XRP ikitabiliwa makubwa kufikia dola 250 mwaka 2026. 5. Sheria mpya ya stablecoins Marekani imesimama, kutokana na wasiwasi juu ya familia ya Trump kuhusika na biashara za crypto.
Image from Duro Crypto: 1. Bitcoin imevuka dola 100,000 na watu wakubwa wanaendelea kuinunua, ...

Comments