Duro Crypto
Duro Crypto
June 4, 2025 at 07:53 PM
2022 Baada ya kushuka hadi chini ya dola dola 4,000 mwaka 2020, Bitcoin ilipanda hadi kufikia rekodi ya juu kabisa karibu na dola 69,000 mwaka 2021. Lakini baada ya kuongezeka kwa zaidi ya 1,670%, bei ilishuka tena kwa zaidi ya 77%, hadi chini ya dola15,600 mwezi Novemba 2022.
Image from Duro Crypto: 2022 Baada ya kushuka hadi chini ya dola dola 4,000 mwaka 2020, Bitcoi...

Comments