
Duro Crypto
June 11, 2025 at 08:16 PM
*Hitimisho*
NFT ni njia mpya ya kumiliki vitu vya mtandaoni.
Inakupa haki ya pekee ya umiliki
Inasaidia wabunifu kupata pesa moja kwa moja
Inafungua fursa nyingi kwenye sanaa, burudani, michezo na biashara za kidigitali
Lakini pia ni muhimu kuwa makini kuna hatari kama soko kutokuwa imara au matapeli wa mtandaoni
Lakini ukielewa vizuri, NFT inaweza kuwa nafasi nzuri sana ya kuwekeza, kuuza kazi zako au hata kuwa sehemu ya dunia ya kidigitali inayokua kwa kasi kubwa