NENO LA LEO
June 3, 2025 at 04:53 AM
Yer 9:24 SUV
Bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni BWANA, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema BWANA,
❤️
🙏
2