Side Makini Blog
Side Makini Blog
June 10, 2025 at 08:11 AM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 9, 2025, amepongeza mabadiliko makubwa ndani ya Jeshi la Polisi nchini. Akihutubia katika sherehe ya kufunga kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi (DPA Dar es Salaam), Rais Samia amesema: “Nidhamu na utendaji kazi umeimarika. Manung’uniko dhidi ya Jeshi la Polisi yamepungua kwa kiasi kikubwa.” 🛡️ Jeshi linaendelea kurekebisha mfumo wa utendaji kwa maslahi ya Taifa. 🔍 Maoni yako kuhusu hatua hizi za mabadiliko? — ✍️ @makinizaidi #sidemakiniblog
Image from Side Makini Blog: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...

Comments