Side Makini Blog
Side Makini Blog
June 10, 2025 at 09:05 AM
Msanii nyota wa Tanzania 🇹🇿 @abigail_chams akutana na YouTuber maarufu zaidi duniani @KaiCenat kwenye red carpet ya #betawards2025 nchini Marekani! Wamepiga picha pamoja 🤳 na Abigail akajitambulisha kuwa anatoka Tanzania 🇹🇿 — Kai ameahidi kuitembelea Tanzania! 🔥 This is HUGE for Bongo & East Africa! #sidemakiniblog
Image from Side Makini Blog: Msanii nyota wa Tanzania 🇹🇿 @abigail_chams akutana na YouTuber maaru...

Comments