Side Makini Blog
Side Makini Blog
June 10, 2025 at 09:19 AM
Kuanzia Januari 1, 2025 hadi Desemba 31, 2028 – kila mtoto atapewa akaunti ya uwekezaji ya $1,000 (Tsh Milioni 2.6) kutoka serikali ya shirikisho! 💰 Akaunti hiyo: HaitaTozwa Kodi hadi itakapotolewa Itategemea soko la hisa Wazazi/walezi watakuwa na udhibiti hadi mtoto afikishe umri wa utu uzima 📌 Trump asema mpango huu utasaidia vizazi vijavyo kujenga utajiri wa muda mrefu! Una maoni gani kuhusu sera hii ya kuvutia? Tuambie ⬇️ #sidemakiniblog
Image from Side Makini Blog: Kuanzia Januari 1, 2025 hadi Desemba 31, 2028 – kila mtoto atapewa aka...

Comments