Side Makini Blog
Side Makini Blog
June 10, 2025 at 10:46 AM
Mwigizaji na mfanyabiashara maarufu, #diddy (Sean Combs), anakabiliwa na mashitaka kadhaa ya usafirishaji wa binadamu kwa matumizi ya ngono, ikiwa ni pamoja na kesi kubwa ya mpenzi wake wa zamani Cassie Ventura. Mwanamke aliyejitambulisha kama "Jane", aliyekuwa na uhusiano na Diddy kati ya 2021–2024, amesema: “Nilijisikia kama naandika hadithi yangu mwenyewe. Mwanzo ulikuwa mzuri, lakini baadaye nikajikuta nikishiriki matendo ya ngono na watu nisiowafahamu…” Jane asema alihisi kudhulumiwa baada ya miaka mitatu katika mahusiano hayo, huku akidai alijaribu kumweleza Diddy lakini hakupewa nafasi. ⚖️ Mashitaka haya yanaongeza presha kubwa kwa Diddy ambaye anakabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wanawake mbalimbali. #sidemakiniblog
Image from Side Makini Blog: Mwigizaji na mfanyabiashara maarufu, <a class="text-blue-500 hover:und...

Comments