
Side Makini Blog
June 12, 2025 at 11:17 AM
🇹🇿 TANZANIA YANG'ARA KIUCHUMI!
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ametangaza kuwa licha ya dunia kuyumba kiuchumi, 🇹🇿 Tanzania imeendelea kukuza uchumi wake kwa kasi ya kuvutia!
📌 Akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi 2024/25 bungeni, Mkumbo alisema mafanikio yanatokana na:
✅ Usimamizi makini wa sera
✅ Miradi ya kimkakati
✅ Mshikamano wa kizalendo wa Watanzania
🗣️ “Tanzania ina mwelekeo chanya na hali himilivu ya kiuchumi,” amesema Prof. Mkumbo.
💬 Maoni yako kuhusu kasi hii ya ukuaji ni yapi?
🔁 Share | ❤️ Like | 📣 Tag Mzalendo Mwenzako
#sidemakiniblog
