Side Makini Blog
Side Makini Blog
June 12, 2025 at 12:40 PM
Kufikia Machi 2025, deni la Taifa limeongezeka hadi Sh107.7 trilioni kutoka Sh91.7 trilioni mwaka uliopita, ikiwa ni ongezeko la Sh16 trilioni ndani ya mwaka mmoja. Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema: 🔹 Deni la ndani: Sh34.76 trilioni 🔹 Ongezeko hili limetokana na mikopo mipya ya kugharamia miradi ya maendeleo kama barabara, reli, umeme, maji, na viwanja vya ndege. 🔎 Taarifa hiyo imetolewa Bungeni leo Juni 12, 2025, wakati wa uwasilishaji wa hali ya uchumi 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2025/2026. Je, una mtazamo gani kuhusu mkakati huu wa maendeleo kwa kutumia mikopo? 💬 Tuambie maoni yako… #sidemakiniblog
Image from Side Makini Blog: Kufikia Machi 2025, deni la Taifa limeongezeka hadi Sh107.7 trilioni k...

Comments