Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga
May 22, 2025 at 10:30 AM
Nimewataka vijana kujitokeza na kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika jamii. "Jitokezeni na mtafute nafasi za uongozi ili kupata uwakilishi wa juu katika tabaka la kisiasa," Pia niliwataka kuwa na maadili mema kwani uongozi unaanza na nidhamu katika jamii. Serikali ya Kenya Kwanza imeendelea kuwashirikisha vijana katika programu mbalimbali za uwezeshaji zinazowasaidia kuboresha maisha yao kupitia vituo vya ICT vya Jitume, fursa za ajira katika miradi mbalimbali ya serikali, hustler fund, miongoni mwa mengine mengi zaidi. Nilikuwa nikizungumza wakati wa hafla ya 3 ya Bunge la vijana mkoa wa Pwani iliyohudhuriwa na zaidi ya vijana 50 kutoka kaunti 6 katika baraza la kaunti ya Kwale.
Image from Deputy Government Spokesperson ~Mwanaisha Chidzuga: Nimewataka vijana kujitokeza na kuwania nafasi mbalimbali za uongozi k...
👍 1

Comments