Dr Nature
Dr Nature
May 18, 2025 at 04:20 PM
Hongera nyingi kwa Prof. Mohamed Janabi kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Uteuzi huu ni heshima kubwa kwa Tanzania na uthibitisho wa mchango wako mkubwa katika sekta ya afya. Tunakuombea mafanikio mema katika jukumu hili jipya.
Image from Dr Nature: Hongera nyingi kwa Prof. Mohamed Janabi kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi ...
❤️ 👍 🫡 5

Comments