Dr Nature
Dr Nature
May 19, 2025 at 12:13 PM
Hii ni program ya kukufundisha uishi Maisha yako ya kawaida bila kuogezeka uzito kwa namna yoyote. Wale wanauliza baada ya kupungua nafanyaje ili nisiongezeke? hii ni kwa ajili yao Dr tutakula kachumbari kabla ya chakula hadi lini?😅 unaweza kupungua bila kula kachumbari kwenye kila mlo Jinsi ya kujipangia ratiba yako ya chakula yenye nguvu ya kubadilisha familia yako ishi kiafya, utajifunza ndani ya program hii
❤️ 1

Comments