EfathaTV
EfathaTV
May 28, 2025 at 07:17 PM
Tuliianza wiki kwa kujua mbinu za kushinda nguvu za giza, kisha tukapata maarifa ya kujua jinsi ya Kutembea na Mungu katika hali ya Unyenyekevu. Alhamisi hii! utafahamu namna ya kudumisha mahusiano mazuri na Mungu kwa kuishi MAISHA YA TOBA, tukiongozwa na Mch. Caroline Sigonda. Haya yote yatakujia kupitia @efathatv kwenye Kipindi cha Safari Kinachoruka Mbashara Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia 8 Mchana - 10 Jioni Tufuatilie kwenye ukurasa wetu wa Youtube na Facebook kwa jina la EFATHA TV ------------------------------------------ #ombachukuanafasi #theyeartostandinposition #efathatv #webringtheworldtojesus
Image from EfathaTV: Tuliianza wiki kwa kujua mbinu za kushinda nguvu za  giza, kisha tukap...
🙏 ❤️ 5

Comments