
EfathaTV
May 29, 2025 at 01:54 AM
☆☆☆☆☆☆☆☆☆
*UKIRI WA LEO | ALHAMISI | MEI 29, 2025*
☆☆☆☆☆☆☆☆☆
💡 NAIBARIKI ALHAMISI YANGU, MIMI NIMEBARIKIWA.
💡 KARAMU HAZITAPUNGUA KWANGU MAANA KWANGU NI SHEREHE & FURAHA TELEE
💡 NA NITAKULA VITAMANIKAVYO 👌
💡 KARAMU, TAFRIJA, SHEREHE NA KICHEKO HAVITAKOMA KWANGU.
💡 HIVYO ALHAMISI YANGU IMEBARIKIWA.
💡HIVYO MIMI (TAJA JINA LAKO) NITAKULA VINONO SIO VICHACHU
💡 SITALALA NJAA MIMI NA WALA SITABANGAIZA CHAKULA
AMEN!!!
UKAWE NA ALHAMISI YENYE BARAKA!!!
————————————
*#theyeartostandinposition*
*#efathatv*
*#webringtheworldtojesus*
🙏
❤️
3