
EfathaTV
May 29, 2025 at 05:24 PM
NI IJUMAA YA MAOMBI!!
Karibu uombe pamoja na Mchungaji Emma Makaza, katika kipindi cha Safari ya Imani. Kuanzia saa 8 Mchana- 10 Jioni.
Tuafutilie Mbashara kupitia @efathatv pamoja na majukwaa yetu ya kidijitali Facebook na Youtube kwa jina la EFATHA TV
--------------------------------------------
#ombachukuanafasi
#theyeartostandinposition
#efathatv
#webringtheworldtojesus

❤️
🙏
4