
EfathaTV
June 1, 2025 at 09:59 AM
@efathamasschoir wakieleza uzuri wa Mungu kwa njia ya uimbaji kwenye ibada iliyofanyika leo Juni 1 2025, Kanisa la Efatha Mwenge.Ibada kamili inapatikana Youtube na Facebook @efathatv tembelea sasa, ili umwabudu Mungu kwa uzuri wa matendo yake makuu aliyoyatenda kwako.----------------#newmonth #efathatv #theyeartostandinposition #webringtheworldtojesus
🙏
❤️
3