
EfathaTV
June 2, 2025 at 08:39 PM
Kwenye kipindi cha Safari ya Imani Jumanne hii!!
Utakutana na Mch. Claudia Challo ambaye atafafanua kwa undani kuhusu SHUKRANI.
Saa 8.00 Mchana-11.00 Jioni ni muda mzuri wa kutufuatilia kupitia @efathatv pia kwa kutembelea majukwaa yetu ya kidijitali Facebook na Youtube kwa jina la EFATHA TV
----------------------------------
#newmonth
#efathatv
#theyeartostandinposition
#webringtheworldtojesus

❤️
1