
EfathaTV
June 3, 2025 at 08:21 AM
HEKIMA YA KITUME NA
KINABII
Kuwa shujaa na hodari, kwenye lile jambo ambalo Mungu amekuhakikishia kuwa ni haki yako ulimiliki.
Usikose kufuatilia mafundisho yaliojaa nguvu ya Mungu na hekima zitakazokufanya ufanikiwe kwenye masuala mbalimbali.
Tembelea Youtube channel
@apostleandprophetj-mwingira
🙏
❤️
7