
EfathaTV
June 3, 2025 at 07:00 PM
Ni neema ya ajabu na ya kushangaza sana kuanza msimu mpya tukiwa hemani mwa Bwana!!
Ilikuwa ni ibada ya kwanza kwa Mwezi Juni. Neno la Mungu lililo taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu lilihubiriwa na Mtume na Nabii,Josephat Elias Mwingira. limekuwa nuru inayoangaza kwa kila mmoja aliyehudhuria ibada hii.
Ibada Kamili inapatikana Youtube na Facebook kwa jina la Efatha TV
#newmonth#theyeartostandinposition#efathatv#webringtheworldtojes
❤️
🙏
2