
EfathaTV
June 3, 2025 at 07:07 PM
Ni Jumatano ya kuwekwa huru.!!
Karibu uungane na Mtumishi wa Mungu Mch. Kashindye, kwenye Kipindi cha Safari ya Imani. Utapata kujua viashiria vinavyo dhihirisha nguvu za giza ndani ya mtu, na jinsi ya kushughulikia.
Ni hapa hapa @efathatv Home of Deliverance and Healing.
Tufuatilie Mbashara Kuanzia Saa 8 Mchana- 11 Jioni kwa kutembelea Ukurasa wetu wa Youtube na Facebook kwa jina la EFATHA TV
--------------------------------------------------------
#newmonth
#theyeartostandinposition
#efathatv
#webringtheworldtojesus