EfathaTV
EfathaTV
June 4, 2025 at 08:25 PM
Katika Kipindi cha Safari ya Imani Alhamisi hii, tutakuwa na Mtume.Tumpe Mwalusamba Atafundisha kwa undani jinsi ya kutumia kinywa kunena kwa usahihi. Ni hapa hapa @efathatv Kuanzia Saa 8:00 Mchana- 11 :00 Jioni Tufuatilie pia kwenye ukurasa wetu wa Youtube na Facebook kwa jina la EFATHA TV ----------------------------------------- #newmonth #theyeartostandinposition #efathatv #webringtheworldtojesus
👍 1

Comments