EfathaTV
EfathaTV
June 6, 2025 at 08:19 AM
HAKUNA KURUDI NYUMA NI MBELE KWA MBELE. SAA YA WOKOVU NI SASA.... 2 Wakoritho 6:2 Hii hapa tena kubwa kuliko kanisa la Efatha Kahama Shinyanga -Tanzania, Linakuletea Mkutano Mkubwa wa Injili wa Kupanda viwango vya Umiliki, Ukombozi, Uponyaji na Nguvu ya Neno la Mungu lenye Ufunuo " *Karibu Yesu atakufungua na kukuweka kwenye Viwango alivyokuandalia:* Viwango vyako vya Kimaisha Viwango vya kiutendaji, Viwango vya Utumishi, Viwango vya Biashara, Viwango vya Elimu yako, Viwango vya Miliki yako. *WATUMISHI WATAKAO TUHUDUMIA* : * Mch Kiongozi kutoka Efatha Zanzibar *MCH HENRY NELSON* * Mch Kiongozi Efatha Shinyanga *MCH COSTANTINE MASSAWE* * Mch Mwenyeji Kanisa la Efatha Kahama Kijana wa Viwango *MCH NOVATUS ROBERT* *MAHALI PA MKUTANO:* * Viwanja vya Kanisa la Efatha Mbulu * Namna ya kufika. Kituo Cha Phantom, Barabara ya Maji Hotel - Mtaa wa Efatha Mbulu *MUDA WA MKUTANO* SAA 10:00 - 12:00 jioni (EAT) Juma Pili ni Saa 2:00 Asubuhi SIKU NNE ZA MAAJABU YA KUTISHA NA NGUVU ZA MUNGU. HII SIO YA KUKOSA AISEE!!!
❤️ 1

Comments