
EfathaTV
June 7, 2025 at 01:29 PM
🌟 Jumapili ya Kipekee Sana!
Siku ya kuhuishwa rohoni kupitia sifa, kuabudu, maombi na Neno la Mungu ili kumiliki na kutawala katika nafasi yako.
Utakuwa wapi Jumapili hii?
Washindi wote watakuwepo hemani mwa Bwana — Efatha Church, Mwenge.
🕗 Kuanzia saa 2:00 asubuhi
Na yote haya ni kwa sababu moja kuu:
Mungu aliyeziumba mbingu na nchi hupendezwa sana kuwaona watu wa kila kabila na rangi wakikusanyika pamoja ili kumwabudu katika roho na kweli.
Njoo ukamdhihirishie Mungu upendo wako!!
Ungana nasi moja kwa moja kupitia @efathatv na kwenye ukurasa wetu wa YouTube na Facebook kwa jina la EFATHA TV.
-------------------------------
#sundayservice
#efathatv
#webringtheworldtojesus
#theyeartostandinpostion

🙏
😢
4