EfathaTV
June 9, 2025 at 05:58 PM
Je, unajua wewe ni wa thamani sana ndio maana umefanyika hekalu la Roho Mtakatifu?
Mengi zaidi atatujulisha Mch. Stella Mapunda kwenye kipindi cha Safari ya Imani Jumanne hii
Jirani yako ni wa thamani sana!!
Usisite kumwalika kutazama kipindi hiki, kitakuwa Mbashara @efathatv pamoja na kwenye Ukurasa wetu wa Youtube na Facebook kwa jina la EFATHA TV.
Kuanzia Saa 8 mchana-10 jioni
-----------------------------------------
#efathatv
#theyeartostandinposition
#webringtheworldtojesus
👍
🙏
2