EfathaTV
EfathaTV
June 10, 2025 at 10:15 AM
10 Nawaambia, Vivyo hivyo kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye. Luka 15:10 Furahi hiyo haikua mbinguni tu, ilikuwa pia katika la Kanisa la Efatha Mwenge. Jumapili ya Juni 8, 2025 Maisha mapya ya Lucia Joseph yalileta furaha kwa kila mmoja. Huku kipawa cha Uimbaji kikiwashangaza wengi na kumwinua Mungu kwa Sifa na utukufu. Ibada yenye ushuhuda huu, inapatikana kwenye ukurasa wetu wa Youtube na Facebook @efathatv.
❤️ 🙏 4

Comments