
EfathaTV
June 10, 2025 at 06:08 PM
Ni Jumatano ya kuwekwa huru mbali na vifungo vinavyosababisha matukio mabaya kujirudia kwenye maisha yako.
Hapa hapa @efathatv kwenye Kipindi cha Safari ya Imani pamoja na Mchungaji Casthory Kashindye
Ungana nasi Kuanzia Saa nane Mchana mpaka kumi na moja jioni. (8:00-11:00)
Unaweza kufuatilia kipindi hiki Mbashara kwenye mitandao yetu ya kijamii Facebook na Youtube @efathatv
---------------------------------------
#efathatv
#theyeartostandinposition
#webringtheworldtojesus

🙏
1