EfathaTV
EfathaTV
June 12, 2025 at 01:52 PM
SIKU NNE ZA VIWANGO VYA UMILIKI Maandalizi ya Mkutano wa Injili wa viwango vya umiliki umekamilika kwa asilimia zote. Leo ndio tunaanza Mkutano wa Injili Wa Viwango vya Kumiliki. Kila atakayehudhuria na kutazama Mkutano huu atapokea maarifa ya kwenda kumiliki! WATUMISHI WATAKAO KUHUDUMIA : Mch Kiongozi kutoka Efatha Zanzibar HENRY NELSON Mch Kiongozi Efatha Shinyanga COSTANTINE MASSAWE Mch Mwenyeji Kanisa la Efatha Kahama Kijana wa ViwangoNOVATUS ROBERT MAHALI PA MKUTANO: Viwanja vya Kanisa la Efatha Mbulu Namna ya kufika. Kituo Cha Phantom, Barabara ya Maji Hotel - Mtaa wa Efatha Mbulu MUDA WA MKUTANO SAA 10:00 - 12:00 jioni (EAT)Jumapili ni Saa 2:00 Asubuhi Mkutano huu utakuwa Mbashara @efathatv na kwenye mitandao yetu ya kijamii Youtube na Facebook kwa jina la EFATHA TV Usikose kwani huu ni wakati wako wa Kumiliki ---------------------------
🙏 1

Comments