
EfathaTV
June 13, 2025 at 07:22 AM
Unapotaka kushughulika na tabia mbaya ndani yako ongeza tabia ya kiungu ndani yako.
“Wala watu hawatii divai mpya katika viriba vya zamani; wakifanya hivyo, viriba hupasuka, divai humwagika, na viriba huharibika. Bali hutia divai mpya katika viriba vipya, navyo vyote huhifadhiwa.” (Mathayo 9:17)
🙏
2