EfathaTV
EfathaTV
June 13, 2025 at 09:56 AM
Ewe mzazi/mlezi sikia hii ni kwa ajili ya mtoto wako!! Moja ya jambo ambalo mtoto wako hatolisahau mpaka atakapokuwa mzee ni kuhudhuria Ibada ya Sherehe ya Watoto itakayofanyika Juni 28, 2025 Ni fursa kwa watoto kupata mafundisho yatayowajenga Kiroho, Kimaadili na Kifikra,huku wakidhihirisha vipawa na karama Mungu alivyowekeza ndani yao Hii fursa kwa mtoto wako, Hakikisha anafika Kanisa la Efatha Mwenge kuanzia saa mbili asubuhi. ------------------------------------------#shereheyawatoto2025 #nimeaminiwakumiliki

Comments