Swautu Jamil Islamic Daawa
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                May 19, 2025 at 04:22 PM
                               
                            
                        
                            Imam Ahmad bin Hanbal (Rahimahullah): alisema
"Kama mtu ataazimia kutafuta elimu kwa ajili ya dunia, haitamfaa; lakini akitafuta kwa ajili ya Akhera, basi dunia itakuja kwake kwa hiari."
Dr. almunadhaf
                        
                    
                    
                    
                    
                    
                                    
                                        
                                            ❤️
                                        
                                    
                                    
                                        1