SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
June 12, 2025 at 01:49 PM
*MATOKEO YA ZAMBIA YAIFUNGISHA VIRAGO STARS⚽* TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeaga mashindano ya kombe COSAFA 2025 licha ya kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Eswatini kwenye mchezo wao wa pili wa mashindano hayo kwa kushindwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo Dakika 90 zinakamilika Eswatini 🇸🇿1-2 🇹🇿 Tanzania. ⚽ 29’ Magalula ⚽ 35’ Nado ⚽ 69’ Sheikhan Dakika 90 zinakamilika Botswana 🇧🇼 3-3 🇿🇲 Zambia. SITTA SPORTS UPDATES ⚽
Image from SITTA SPORTS ARENA: *MATOKEO YA ZAMBIA YAIFUNGISHA VIRAGO STARS⚽*  TIMU ya Taifa ya Tanzan...

Comments