
SITTA SPORTS ARENA
June 12, 2025 at 02:05 PM
*MADRID YATAMBULISHA UZI MPYA ⚽ 👇*
*Huu hapa Uzi mpya wa Real Madrid* kwa msimu wa 2025/26. Inatengenezwa na *Adidas* na kudhaminiwa na *Emirates Fly Better*.
Ubunifu wake una rangi ya asili nyeupe iliyo na mipira midogo ya kijivujivu kwa mbele, mistari ya bega myeupe na nyeusi, pamoja na mstari mwembamba wa dhahabu pembeni. Jezi hii inaonyesha mchanganyiko wa heshima kwa urithi wa klabu na muonekano wa kisasa unaoendana na mafanikio ya Real Madrid kitaifa na kimataifa.
SITTA SPORTS UPDATES ⚽
