SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
June 12, 2025 at 05:07 PM
*NDIMBO ATEMA CHECHE ⚽ 👇* "Klabu ya Yanga wamefika wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza, Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alimuita CEO wa Yanga wazungumze alikataa, hizi ni taasisi kubwa na sio kila jambo tunapaswa kuandikiana barua kama tunatoa posa"- Cliford Ndimbo. CHANZO: NasibuMkomwa. SITTA SPORTS UPDATES ⚽
Image from SITTA SPORTS ARENA: *NDIMBO ATEMA CHECHE ⚽ 👇*  "Klabu ya Yanga wamefika wameleta barua na...

Comments