SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
June 13, 2025 at 08:51 AM
*DABI IPO PALE PALE ⚽ 👇* "Bodi ya Ligi Kuu Tanzania tunaendelea na maandalizi [ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo], na ni matumaini yetu kuwa wadau wengine, zikiwemo hizo timu mbili za Yanga na Simba, wanaendelea na maandalizi kuelekea huo mchezo. Ni mchezo mkubwa, mchezo ambao ni kioo cha ligi yetu." - Karim Boimanda, Afisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu SITTA SPORTS UPDATES ⚽
Image from SITTA SPORTS ARENA: *DABI IPO PALE PALE ⚽ 👇*  "Bodi ya Ligi Kuu Tanzania tunaendelea na m...

Comments