SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
June 13, 2025 at 04:19 PM
*CAMARA WA BERKANE ATAKIWA ULAYA⚽* Villarreal CF 🇪🇦 imetuma ofa kwa RS Berkane 🇲🇦 ya €7M (Tshs Bilioni 20) kwa mkataba wa miaka mitano ili kupata saini ya Kiungo Lamine Camara (22) 🇸🇳 ➡️RS Berkane hawana nia ya kumuachia kirahisi licha ya ofa hiyo na wanahitaji kumuongezea mkataba mpya. SITTA SPORTS UPDATES ⚽
Image from SITTA SPORTS ARENA: *CAMARA WA BERKANE ATAKIWA ULAYA⚽*  Villarreal CF 🇪🇦 imetuma ofa kwa...

Comments