SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
June 13, 2025 at 04:41 PM
*KARIAKOO DABI KUPIGWA TAREHE 25 JUNI⚽* Bodi ya Ligi kuu Tanzania imesogeza mchezo wa dabi ya Kariakoo uliopangwa kupigwa Juni 15 hadi Juni 25 saa 11:00 Katika Dimba la Benjamin Mkapa. Taarifa hiyo inaeleza; “Bodi ya Ligi kuu Tanzania imesogeza mbele mchezo namba 184 wa ligi kuu ya NBC kati ya Klabu ya Yanga na Klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa Juni 15, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni” “Mchezo huo sasa utafanyika Juni 25 katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 jioni. Bodi inawatakia maandalizi mema ya Simba na Yanga kuelekea mchezo huo” SITTA SPORTS UPDATES ⚽
Image from SITTA SPORTS ARENA: *KARIAKOO DABI KUPIGWA TAREHE 25 JUNI⚽*  Bodi ya Ligi kuu Tanzania ime...

Comments