
SITTA SPORTS ARENA
June 13, 2025 at 05:48 PM
*PEDRI WA BARCELONA AJA KUTALII TANZANIA ⚽*
Nyota wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Hispania Pedri yupo nchini Tanzania katika hifadhi ya Tarangire inayopatikana mkoani Arusha kwa ajili ya mapumziko ya msimu uliopita.
Nyota huyo hivi sasa anafanya vizuri zaidi barani ulaya kwani msimu huu ameisaidia klabu yake ya Barcelona kuchukua ubingwa wa La liga, Copa dey rey pamoja na Supercopa huku akiifikisha timu yake ya taifa ya Hispania fainali ya UEFA Nations League.
Zlatan Ibrahimovic pia yupo ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwaajili ya kutalii.
SITTA SPORTS UPDATES ⚽
