
United TZA
June 1, 2025 at 02:08 PM
*🚨OFFICIAL: CUNHA SIGNS FOR MAN UTD*
Matheus Cunha amejiunga na Man United kwa mkataba wa miaka mitano akitokea Wolves. Klabu imethibitisha taarifa hiyo.
Nyaraka zote zishasainialwa na Man Utd watalipa kipengele cha kuvunja mkataba chenye thamani ya £62.5m.
Hatimaye Man Utd wamekamilisha usajili wa kwanza dirisha la kiangazi!
Unaupa maksi ngapi usajilu huu??
https://youtube.com/@united_tza?si=5yqjR-phKOlegJkd
