United TZA
United TZA
June 3, 2025 at 07:12 AM
💣 UAMUZI: Bruno Fernandes amekataa ofa ZOTE za kuhamia Al Hilal. ❌🇸🇦 Licha ya ofa ya mshahara mkubwa kutoka klabu hiyo inayokipiga kwenye Saudi Pro League, Bruno Fernandes anataka kuendelea kucheza soka barani Ulaya. Nahodha wa Manchester United anataka kubaki akicheza katika kiwango cha juu barani Ulaya. Uamuzi tayari umefanyika na Bruno anabakia Manchester United. Hii habari imefanya siku yangu iende vizuri!
Image from United TZA: 💣 UAMUZI: Bruno Fernandes amekataa ofa ZOTE za kuhamia Al Hilal. ❌🇸�...

Comments